Isaiah 5:20-22


20 aOle wao wanaoita ubaya ni wema,
na wema ni ubaya,
wawekao giza badala ya nuru,
na nuru badala ya giza,
wawekao uchungu badala ya utamu,
na utamu badala ya uchungu.


21 bOle wao walio na hekima machoni pao wenyewe,
na kujiona wenye akili machoni pao wenyewe.


22 cOle wao walio mashujaa kwa kunywa mvinyo,
nao walio hodari katika kuchanganya vileo,
Copyright information for SwhKC